JE TANGA NI JIJI..!!??

3 Comments

  • PETERMSEMAKWELI - 11 years ago

    ulikuwa mji wa pili badala ya jiji la Dar-re-salam. na leo ni 2010. wakati ule wa miaka ya sitini watu (population) walikuwa 200,000 na leo ni wangapi? na ninafahamu sheria ya serikali za mitaa wakati ule ilikuwa mji ukisha kuwa na Watu(population) 600,000 lazima mji huwo uwe Jiji. kwa jinsi ninavyo fahamu mimi kwani ni siku nyingi toka nimeondoka Tanzania (Tanganyika) these a just my comment I hope you will understand me. thank you I wish You

  • PETER MSEMAKWELI - 11 years ago

    NDIO TANGA JIJI NAKUMBUKA NIPO DARASA LA SABA TANGA NDIO INAPEWA JIJI NIKIWA NA SOMA MAWENI PRIMARY SCHOL NA KIUKWELI JIJI LA TANGA IS BIGEST MOER THAN EVERY THING SO NAIPI BIG HAP TANGA KUWA JIJI NA PIA MANZARI YAKE YANA PENDEZA HAPPY PASAKA NJEMA

  • Abdi Noor - 13 years ago

    Kama na kumbuka mji wa Tanga ulitawazwa kuwa manucipality kama si 1963 au 1964 na Meya wa kwanza alikuwa Mheshimiwa Mwakitwange. na ulikuwa mji wa pili badala ya jiji la Dar-re-salam. na leo ni 2010. wakati ule wa miaka ya sitini watu (population) walikuwa 200,000 na leo ni wangapi? na ninafahamu sheria ya serikali za mitaa wakati ule ilikuwa mji ukisha kuwa na Watu(population) 600,000 lazima mji huwo uwe Jiji. kwa jinsi ninavyo fahamu mimi kwani ni siku nyingi toka nimeondoka Tanzania (Tanganyika) these a just my comment I hope you will understand me. thank you I wish You Merry Chris mass and Happy New Year

Leave a Comment

0/4000 chars


Submit Comment